Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, anaelekea nchini Algeria akianza ziara yake ya siku 11 barani Afrika. Hii ni ziara yake kuu ya kimataifa barani humo.
Akiwa amesimama kwenye jukwaa katika kituo cha mikutano cha Florida usiku wa uchaguzi, safu ya bendera za Marekani nyuma yake na umati wa watu wenye furaha wakitazama, Donald Trump alisema: "Watu ...
Kufunga wakati wa mwezi mtufuku wa Ramadhan ni mojawapo ya nguzo tano za Kiislamu ambazo ni lazima kwa kila Muislamu aliyefikisha umri wa kubalehe , mtu mzima, mwenye fikra timamu na mwenye afya ...
Mamia ya watu walikusanyika katika kanisa la Uzawa katika mji mtakatifu kwa Wakristo wa Bethlehem Jumanne kuadhimisha Krismasi nyingine iliyogubikwa na vita katika Ukanda wa Gaza. Wakristo duniani ...
Picha za waumini hao ziliyorushwa kwenye mtandao zimezua hisia kali nchini Misri na ulimwengu wa Kiarabu. Kanisa la Kicoptic na Msikiti mkuu wa al-Azhar vimelani uhalifu huo wa kigaidi, wakati rais wa ...
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Nigeria kwamba huenda akachukua hatua za kijeshi nchini humo kufuatia madai ya mauaji ya idadi kubwa ya Wakristo. Trump alituma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii ...
VIONGOZI wa dini yaKikristo wamewataka waumini wa dini hiyo na Watanzania kuenzi umoja na kuendelea kushikamana katika upendo ...
Wakiwa wamebeba chupa za maji na wamevaa fulana za njano, mateka 89 waliobaki walipanda basi, wakisindikizwa na vikosi vya usalama, kuelekea Kaduna kaskazini mwa Nigeria. Miongoni mwao ni watoto ambao ...
Kwa wa Australia wengi, Ijumaa ya pasaka ni siku ya familia na sherehe, kuchangia vyakula vya baharini na kuenda fukweni. Na kwa wengine ambao ni wakristo, ni siku yaku abudu. Viongozi wakisiasa ...